kimbunga jnr JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 260 Reaction score 59 Jun 24, 2016 #1 Nauza nissan extrail ipo imetembea km 98600 ipo vzr
dyuteromaikota JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 5,936 Reaction score 8,350 Jun 24, 2016 #2 Umesahau kuweka bei kiongozi, kamkoko kamesimamia kucha!
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 24,742 Reaction score 44,199 Jun 24, 2016 #3 Weka bei Mkuu,huu ndio wakati wa kununua magari,viwanja na nyumba.
Sifi Leo Platinum Member Joined Mar 30, 2012 Posts 6,033 Reaction score 11,055 Jun 24, 2016 #4 Daaaaaaa, miaka hii mitano jamani,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, tutauza mpaka viingizio vyetu.
D dagii JF-Expert Member Joined Dec 23, 2013 Posts 4,959 Reaction score 3,785 Jun 24, 2016 #5 Bei plz
kimbunga jnr JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 260 Reaction score 59 Jun 25, 2016 Thread starter #6 Inatakiwa m15 maongezi yapo
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 24,742 Reaction score 44,199 Jun 25, 2016 #7 kimbunga jnr said: Inatakiwa m15 maongezi yapo Click to expand... Hiyo bei yako inazidi bei ya kuagiza used kutoka Japan plus gharama zote mpaka TRA.
kimbunga jnr said: Inatakiwa m15 maongezi yapo Click to expand... Hiyo bei yako inazidi bei ya kuagiza used kutoka Japan plus gharama zote mpaka TRA.