Nauza gari aina ya Rav4 namba C, bei Mil 9

Kwa bei hii?
Haya endelea kila mtu na bahati yake
 
mkuu milango 3 kwa bei hiyo please chukua 5m tufanye biashara leo leo 0657145555 lete nikague
 
hyo gari ya kuuza mil. 9? hebu acha masikhara
 
hyo gari ya kuuza mil. 9? hebu acha masikhara
Tafuta yako na wewe upange bei.Kama huna cha kuchangia si ukae kimya.Hivyo ni kuaribiana biashara usifikiri kma ww huna uwezo wa kununua na wengine hawana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…