Nauza galaxy s3

Nimetumia miaka 2 kwa anayehitaji picha anicheki whasp kwa namba hiyo hapo ni jembe kweli nalikubali sana
 
Nimetumia miaka 2 kwa anayehitaji picha anicheki whasp kwa namba hiyo hapo ni jembe kweli nalikubali sana

Kwanini unauza jembe lako unalolitumia? Kilimo kwanza kimekushinda au mchina anakaribia kueksipaya???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…