Habari.
Nauza fitness tracker mpya sealed yenye kufanya yafuatayo:
-Inapima mapigo ya moyo (heart rate monitor) katika bpm.
-Ina monitor muda uliolala.
-Ina hesabia hatua (pedometer) na distance uliotembea.
-Calories burnt.
-Notification reminder endapo ikiingia sms, call au alarm kwenye simu yako.
-Pia ni water resistant IP67.
Ina support katika Android na iOS.
Bei Tsh elfu 50 tu.
Nipo Ubungo, Namba 0758095750
View attachment 788435View attachment 788436View attachment 788437