nauza engine ya toyota duet

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,943
Reaction score
808
nauza engine ya toyota duet bei ni laki tisa haina tatizo lolote na inatoa maji ukiiwasha,
 
Inaweza kufanikisha matumizi kiasi gani ya umeme?
 
Toa specifications zake yaani c.c. ngapi na ya mwaka gani, n.k.
 
Vipi inaweza kufungwa kwenye vitz hii kitu?

Sina uhakika kwa sababu hii injini ina piston tatu ya vitz ni nne ingawa cc zinalingana unaweza ukaifunga kwenye toyota cami au daihatsu terios
 
sina uhakika kwa sababu hii injini ina piston tatu ya vitz ni nne ingawa cc zinalingana unaweza ukaifunga kwenye toyota cami au daihatsu terios

kuna vitz new model zina piston 3
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…