NAUZA CAMERA (CANON)

Oluwa ni

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Posts
717
Reaction score
446
Habari zenu wakuu....

Nauza camera aina ya canon D1100
Iko katika hali mzuri, haina mchubuko wala mpauko

Ina lens 18-55mm

Chaja yake pamoja na betri mbili

Pamoja na mkoba wake.....

Bei ni 600k yaani laki 6
MAONGEZI YANARUHUSIWA, ATAKAYEHITAJI ANICHEK PM AU 0674982656

Inapiga picha nzuri sanaa



Karibuni
 
Upo wapi? Inachukua video hd au full hd?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…