Nauza bodaboda boxer

Pandamlima

Senior Member
Joined
Feb 27, 2013
Posts
143
Reaction score
13
Wadau nauza boxer IPO kwenye Hili nzuri sana..nipo dar

Serious buyer pm please


Bei .1.300.000
 
Weka picha tuone maana boxer ziko aina nyingi nijuavyo mm
 
weka pic vip watu wafunge safari mpk knondon alafu mtu anajikuta mbovumbovu sikupotezeana muda aione kwenye pic akipenda anakuja physical mkuu
 
Picha hizo wadau..karibuni
 

Attachments

  • 1399207843349.jpg
    58.7 KB · Views: 151
  • 1399207863085.jpg
    62.4 KB · Views: 130
  • 1399207888916.jpg
    71.3 KB · Views: 125

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…