Full service inakua ni juu yako mfano kama unataka kufanya overall maintenance.. Ila kumwaga oil na kubadilisha vitu vidogo vidogo mfano plugs na kubadilisha side mirror, rubber etc ni juu yake.
Mimi niliingia nae mkataba service inayozidi elfu 10, Ndio tunashare cost.
All the best mkuu ukipata dereva mwaminifu na anayejua maisha ni nin, utapata faida sana hasa ukimkabidhi chombo kizima (kisichosumbua)
N.B. Nilikua nazo mbili zote zikanifilisi.