Ndugu wana JF, nauza asali ya nyuki wakubwa mbichi haijachanganywa na kitu chochoto ila soko ndio bado linanisumbua. Naombeni msaada. Ninauza kuanzia ujazo wa lita moja kwa sh 10000. Pia kwa jumla ninauza dum la lita ishirini kwa sh 160000. Nipo sinza karu na meeda. Mawasiliano 0674003082/0766849951