Location na beiHabari ndugu wote humu jamvini!!jamani mwenye kujua wapi au nani/kampuni gani wananunua asali mbichi ya nyuki wakubwa, Mimi ninauza Nina dumu za Lita 20 zipatazo ishirini,,,nipeni muongozo tafadhali.
Mkuu unasafirisha kutoka south African Hadi Tanzania?Habari ndugu wote humu jamvini!!jamani mwenye kujua wapi au nani/kampuni gani wananunua asali mbichi ya nyuki wakubwa, Mimi ninauza Nina dumu za Lita 20 zipatazo ishirini,,,nipeni muongozo tafadhali.
Morogoro,,Location na bei
Sisi tukupe mwongozo gani wakati asali unauza wewe?.nipeni muongozo tafadhali.
Hapana,,, MoroMkuu unasafirisha kutoka south African Hadi Tanzania?
Weka bei elekeziMorogoro,,
Habari ndugu wote humu jamvini!!jamani mwenye kujua wapi au nani/kampuni gani wananunua asali mbichi ya nyuki wakubwa, Mimi ninauza Nina dumu za Lita 20 zipatazo ishirini,,,nipeni muongozo tafadhali.
Ndio,,ipo mbichi na baadhi ya masega (nyumba) ya nyukiMkuu una asali ili ambayo haijakamuliwa? Yaani yenyewe imetoka kwenye mzinga au shimo au mti na kuhifadhiwa bila ya kukamuliwa.
Sawa. Tuwasiliane PM.Kuna mtu nitampa namba yako mtawasiliana.Ndio,,ipo mbichi na baadhi ya masega (nyumba) ya nyuki
Tatizo mnachanganya sana asali. Siyo pure.Wakuu habari zenu, mwenye uhitaj wa asali mbichi ya nyuki wakubwa Mimi ninauza,,,nipo Morogoro ninayo katika madumu ya ujazo wa lita 20,,Nina madumu yenye asali yapatayo 50,kwa yeyote mwenye uhitaj au mwenye kujua wapi nitapata soko anipe connection.
[emoji28][emoji28] Doctor John unazinguaNilijua asali ya ccmule ya jukwaa la siasa
Vip kuvusha mipakan? inahitajika vibali vya serikali?taratibu zikoje? maana sijawah kufanya biashara hiyo kutoka nje ya nchi.peleka lusaka zambia. utanishukuru badae
OkSawa. Tuwasiliane PM.Kuna mtu nitampa namba yako mtawasiliana.
Hapana,,,hii Ni asali ya og ambayo hao jamaa wanakuja kununua Kisha ndio wanarambishwa wakina nyieNilijua asali ya ccmule ya jukwaa la siasa