Habari wakuu laptop yangu ya dell dogo kaitia juisi imeungua asa nimeuza baadhi ya vitu
vizima imebaki adapta.Naiuza kwa tshs.40000/= tu!!!!! Ni orijino kabisa kama waitaka nipigie simu 0654404707.napatikana dar es salaam na pia bei inapungua
Mimi nataka keypad/keybod sijui ndio inavyoitwa. Bei gani halafu hio laptop yako ni aina gani?[/QU
ilikuwa dell inspiron n5050 ila mkuu imebaki adapta tu vingine vyote nishauza