National housing mitaa ya Samora

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
93,955
Reaction score
132,292
Nina national housing mtaa wa Samora, natafuta mtu wa kumwachia sehemu yangu na mkataba wangu ntafanya hadi transfer.

Ukubwa wa eneo ni sq 15.

Panafaa kwa ofisi.
 
Ni national house au ni eneo, fafanua mkuu

kama ni nyumba ikoje
 
Hivi jamani umesema mali ya National Housing .kwanini usiwe mkweli na kwenda NHC uvunje mkataba nao kama wanye nyumba.inakuaje mali ya umma unaita yako??
 
Reactions: Paw
mbona watu wanauziana natinal housing za shekilango...yaani mm nakuuzia mkataba wangu ws hapo mkuu mbona vitu vinafanyika.. Android ni eneo la ofisi ktk national housing hapo kuna ofisi zipo ktk building hiyo mkuu
 
Last edited by a moderator:
ni sehemu ta ofisi mkuu syo jengo lote mkuu
 
Nina national housing mtaa wa Samora, natafuta mtu wa kumwachia sehemu yangu na mkataba wangu ntafanya hadi transfer.

Ukubwa wa eneo ni sq 15.

Panafaa kwa ofisi.

Weka Bei Mkuu…!
 
Nina national housing mtaa wa Samora, natafuta mtu wa kumwachia sehemu yangu na mkataba wangu ntafanya hadi transfer.

Ukubwa wa eneo ni sq 15.

Panafaa kwa ofisi.

Auna Nyumba Maeneo Hayo?
 
kuna mtu anahitaji humuhumu jf anaitwa mama kibunju hebu aje ajionee hapa

Nina national housing mtaa wa Samora, natafuta mtu wa kumwachia sehemu yangu na mkataba wangu ntafanya hadi transfer.

Ukubwa wa eneo ni sq 15.

Panafaa kwa ofisi.
 
Last edited by a moderator:
nyumba ya makazi nenda shekilango flats jaribu kuuliza ila uwe na maximum 10 mln watu wanaa chiana mijengooo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…