NATAFUTA TOYOTA ist

mpanga liganga

Senior Member
Joined
May 16, 2014
Posts
192
Reaction score
417
isuwe nyeupe, iwenamwonekano mzr isiyo funguliwa engine naisiyo vuja oil kwenye engine,
Mwenye nayo tafadhari.
 
kwa hivyo vigezo tu! you seems to be having a very small budget.

kama una milioni nane ni PM nikupe gari ya ukweli
 
Ninayo ya 2003,ina km 110000,silver mil 9 na inavigezo ulivyosema

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Njoo nikuuZie ya dark blue nimenunua december km 56000, ina comprehensive insurance haijaguswa ingine wala kukwaruzw body namba ni csn
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…