Natafuta self contained bedroom

Kaunga

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Posts
12,529
Reaction score
13,502
Maeneo ya Sinza, Mwenge, Mikocheni au Mbezi beach. Budget yangu ni sh 120,000 kwa mwezi naweza kulipa kwa miezi 6
 
Maeneo ya Sinza, Mwenge, Mikocheni au Mbezi beach. Budget yangu ni sh 120,000 kwa mwezi naweza kulipa kwa miezi 6

Tulia nakurushi contact sasa hivi near MLIMNAI CITY.
 
Maeneo ya Sinza, Mwenge, Mikocheni au Mbezi beach. Budget yangu ni sh 120,000 kwa mwezi naweza kulipa kwa miezi 6

Good, watu wanase self "container",
chumba 120,000 Ths!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
kutaja exactly bei ni kosa kubwa kwa madalali wetu yaani chumba cha 80000 kitabadilishwa na kupewa hiyo bei yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…