Hapo Mukulu Ndibalema umedanganya. Ukweli ni kwamba photocopy mashine used zipo nzuri tu tena zinadumu sana, inategemea umezipata wapi. Alafu ujue kuwa baadhi ya photocopy zinazoitwa mpya bongo ni feki. Ukitafuta genuine photocopy mashine kutoka Canon hakuna copier ya chini ya Tsh 3M. Huyo anayeuza Tanzania kwa mpya Tsh 2.5M Canon ameitoa wapi na amelipa ushuru kiasi gani. Watu wanauza hapa bongo Canon 2318 kwa 2.5M wakati canon distributors wauza copier chini ya hiyo kwa 3M.
Copiers used nzuri zipo tu, ukitaka nikupe knowledge zaidi juu ya copiers ni PM