DAGAA WA MWANZA
Senior Member
- Jan 27, 2019
- 169
- 465
'Chumba na Sebule Iwe na Jiko, Choo ya ndani, Tiles'Umeelewaje kwenye maelezo mkuu?
Hauko serious elfu 50 kwa nyumba vitu ulivyotaja! Labda maeneo ya Misungwi utapa.Nyumba iwe maeneo ya Mkolani, Nyegezi, Nyakato na Igoma.
Chumba na Sebule Iwe na Jiko, Choo ya ndani, Tiles,
Bei isizidi 50000
NiPM kama unayo tafadhari
Hali ni ngumu mkuu,'Chumba na Sebule Iwe na Jiko, Choo ya ndani, Tiles'
Vyote hivyo kwa sh. 50,000 tu,labda viwe vya udongo.
Nipo serious mkuuHauko serious elfu 50 kwa nyumba vitu ulivyotaja! Labda maeneo ya Misungwi utapa.
Watakaonitukana ni madali, si wenye nyumba.hahahahaha ww jamaa bhna utatukanwa
Naelewa mkuu,lkn kwa pesa hio bora ungetafuta room 1 self basi,hizo mambo nyingine achana nazo.Hali ni ngumu mkuu,
Nina familia mkuu ndiyo maana, nakuelewa sana ila ndo hivo, hapa nakimbia kodi ya laki na 20, Hali siyo swari kabisa ukijifanya nunda utapasukaNaelewa mkuu,lkn kwa pesa hio bora ungetafuta room 1 self basi,hizo mambo nyingine achana nazo.
All the best kwny utafutaji mkuu.Nina familia mkuu ndiyo maana, nakuelewa sana ila ndo hivo, hapa nakimbia kodi ya laki na 20, Hali siyo swari kabisa ukijifanya nunda utapasuka
AminaAll the best kwny utafutaji mkuu.