hello, natafuta nyumba ya kununua maeneo ya mwenge,savei, ubungo,kinondoni na tabata, bei ya mtanzania wa kawaida sina mamilioni jamani, budget ni 35-45 m.

hello, natafuta nyumba ya
kununua maeneo ya mwenge,savei, ubungo,kinondoni na tabata, bei ya
mtanzania wa kawaida sina mamilioni jamani, budget ni 35-45 m.
nyumba za nhc zinaanza kuuzwa soon bei m 50,pitia web ya nhc,T/kisukulu karibu na mahakama bar kuna nyumba inauzwa nimeona tangazo,la ambassador estate agency