Natafuta mashine za kuranda mbao

Mrekwa

Member
Joined
Jan 25, 2015
Posts
20
Reaction score
11
Je nani anajua sehemu zinapopatikana mashine za kuranda mbao Dar es Salaam?
Je unafahamu na bei zake na aina.

Natanguliza shukurani.
 
Hello.
Kuna sehemu keko na pia mbagala zinauzwa. Inategemeana unazihitaji kwa haraka au kama unaweza kusubiri kwani na mie pia uwa naziuza. Unahitaji za aina gani ila zenye ubora zinaitwa Wadkin ambazo zinatoka UK na Ujerumani.. Kama unataka zaidi tuwasiliane inbox nitakupa guidance zaidi ndugu..
 
Bei kwa mashine za ukweli unaangalia kuanzia mil 6 ila inategemeana na ukubwa wa mashine..
 
Ni pm mkuu nkupe mashine nzur upige pesa nzuri pia
 

Kwa ufahamisho nilinunua mashine hii tena kwa mtu alitangaza hapa hapa JF lakini imeshindwa kazi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…