Natafuta magari ya zamani

mjomba 1

Senior Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
104
Reaction score
31
Ndugu wana JF najua humu ndani kuna watu wana magari ya zamani.
Natafua magari yafuatayo:

DATSUN 120Y AU DATSUN 160J.
 

Attachments

  • datsun-160j-coup_25C3_25A9-01.jpg
    21.9 KB · Views: 389
  • datsun 120y.png
    26.1 KB · Views: 385
hio gari sijui,nakumbuka niliiona road wakati nina miaka kama 6 hivi,ngoja waje lakini!
 
Zote in Datsun.ya njano ni Datsun 1600(cc) ya blue Datsun 1800(cc)
 
Mimi natafuta hii hapa
 

Attachments

  • 1445608610739.jpg
    8.1 KB · Views: 229
Ndugu wana JF najua humu ndani kuna watu wana magari ya zamani.
Natafua magari yafuatayo:

DATSUN 120Y AU DATSUN 160J.

Injini ya gari gani yaweza kuwa mounted kwenye hizo model? Kuna Peugeot 504 iko Arusha, ni ya mwaka 1971
 
Nissan datsun double cabin z16 inauzwa mil 8 tu anayeitaka, jamaa yuko Buguruni leo tulikuwa naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…