Natafuta kiwanja KILICHOPIMWA TU saizi yoyote katika jiji la mwanza. kama unacho kiwanja andika kwa
edithalongo@yahoo.com
Saizi yake (upana kwa urefu), maeneo, bei na simu yako
Kama ni nyumba weka picha zake pia, idadi ya vyumba, iwe ya kisasa, eneo la kiwanja etc
Asante