Kuna mtu namjua ana kiwanja kibada,maeneo ya fullshangwe kiwanja kipo block 15,kina hati ukubwa wa kiwanja ni sqmt 600.....kama uko serious na ni mtakaji naweza link naye.....

Kama bado hujapata na unahitaji Gezaulole kwenye mradi wa viwanja vipya blocks 16-24 nicheki inbox. Hili ni eneo lililo karibu na zinapojengwa ofisi za Mkurugenzi na Mkuu wa Wilaya pia Hospitali ya wilaya ya Kigamboni