Kweli magar zenji yako bei poa kidogo tatizo ukilileta bongo TRA wanalifanyia tax evaluation upya maana zenji tax zao ziko chini. Difference ya tax inabidi ulipe na mwisho wa cku unajikuta hukusave lolote.

Si ndio nimekuambia unaongeza 2mil ya usafiri wa meli, TRA, plate number + Agent Fee.
Sasa kuliko umvue mtu hapa bongo kwa 18Mil gari ambayo ishatumika sana tu, si bora uongezee 1mil upate yenye uhakika mkuu wangu??