Natafuta Earphone Jack na Mic vya Nokia N81

Katabalo

Senior Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
115
Reaction score
14
ni kama hii hapa Earphone jack

mwenye kupata Earphone Jack ya Nokia N81 aniuzie, pin 1 hapo ilikatika ya2 kutoka kwenye tundu, ambayo ni ya mic!! simu yangu nikichomeka earphone, nackia music tu but cwez kuongea kutumia hyi earphone wala kubadilisha stations za redio kwa earphone!! na mic ya ndani ya simu nayo ni mbovu pia! mwenye kuvipata hiv niko tayar kutoa feza, coz natumia msg tu cwez kuongea! nipo Mbeya, MIST, no.za simu ni
0763 832682, 0684 832682,na 0715 832682.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…