Kichwa kinajieleza vizuri na nimeandika kwa herufi kubwa,Natafuta coaster ya kununua isiwe box body tu
Offer Yangu 20 million Bei itaongezeka kutokana na condition ya gari ila offer iliopo ni hiyo,nitext DM nikupe number unitumie picha
Weekend Njema.