simon baker JF-Expert Member Joined Oct 5, 2017 Posts 561 Reaction score 767 Oct 9, 2019 #1 Habari, Natafuta chumba na sebule kiwe self... maeneo ya morocco ...maana kikazi nipo masaki maeneo ya slip way... 0737184400 tuwasiliane... budget 150k pm PS 😛ia ntashukuru ushauri wowote wa kiwango changu na eneo..maana ni mgeni ya maeneo tajwa na pia napokea ushauri wa ku reallocate kwa urahisi zaid.
Habari, Natafuta chumba na sebule kiwe self... maeneo ya morocco ...maana kikazi nipo masaki maeneo ya slip way... 0737184400 tuwasiliane... budget 150k pm PS 😛ia ntashukuru ushauri wowote wa kiwango changu na eneo..maana ni mgeni ya maeneo tajwa na pia napokea ushauri wa ku reallocate kwa urahisi zaid.
sakasaka JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 255 Reaction score 363 Oct 9, 2019 #2 Na mimi natafuta chumba sebule na jiko maeneo ya sayansi, kijitonyama, makumbusho, mwenge , mbezi beach(makonde) Bajeti mwisho 250k
Na mimi natafuta chumba sebule na jiko maeneo ya sayansi, kijitonyama, makumbusho, mwenge , mbezi beach(makonde) Bajeti mwisho 250k