TMAN8 Senior Member Joined May 25, 2012 Posts 165 Reaction score 41 May 26, 2012 #1 Kiwe maeneo ya k'nyama, Sinza, Namanga, maduka mawili - Chang'ombe au Kinondoni. Ikiwa chumba na sebule itakua poa zaidi, na kikiwa kama master bedroom itakuwa safi zaidi. Nipeni msaada kwa 0774717033
Kiwe maeneo ya k'nyama, Sinza, Namanga, maduka mawili - Chang'ombe au Kinondoni. Ikiwa chumba na sebule itakua poa zaidi, na kikiwa kama master bedroom itakuwa safi zaidi. Nipeni msaada kwa 0774717033
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,133 Reaction score 166,009 May 26, 2012 #2 Una taka nyumba ya kiasi gani? Je unataka kukaa na mwenye nyumba, au awe mbali na upeo wa macho yako?
Una taka nyumba ya kiasi gani? Je unataka kukaa na mwenye nyumba, au awe mbali na upeo wa macho yako?
TMAN8 Senior Member Joined May 25, 2012 Posts 165 Reaction score 41 May 28, 2012 Thread starter #3 bajeti yangu ni 50 - 70, ila inategemeana kama mazingira yanavutia zaidi si mbaya ikizidi kidogo zaidi ya hapo, sihitaji kukaa na mwenye nyumba.
bajeti yangu ni 50 - 70, ila inategemeana kama mazingira yanavutia zaidi si mbaya ikizidi kidogo zaidi ya hapo, sihitaji kukaa na mwenye nyumba.