queenlishas JF-Expert Member Joined May 25, 2014 Posts 288 Reaction score 76 Jun 19, 2014 #1 Kwa wale wenyeji wanaofaham namba ya simu ya dalali maeneo ya kurasini tafazali nsaidie.naitaji chumba cha kupanga maeneo ya kurasini
Kwa wale wenyeji wanaofaham namba ya simu ya dalali maeneo ya kurasini tafazali nsaidie.naitaji chumba cha kupanga maeneo ya kurasini
Jesuitdon JF-Expert Member Joined Dec 18, 2018 Posts 3,143 Reaction score 2,709 Nov 9, 2020 #2 queenlishas said: Kwa wale wenyeji wanaofaham namba ya simu ya dalali maeneo ya kurasini tafazali nsaidie.naitaji chumba cha kupanga maeneo ya kurasini Click to expand... Ulipata? Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
queenlishas said: Kwa wale wenyeji wanaofaham namba ya simu ya dalali maeneo ya kurasini tafazali nsaidie.naitaji chumba cha kupanga maeneo ya kurasini Click to expand... Ulipata? Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,996 Reaction score 189,583 Nov 9, 2020 #3 Ukiwa unatafuta kitu chochote kuwa specific unataka aina gani ya kitu, ubora n.k. Ila ukiweka general hivi watakusumbua tu bure.
Ukiwa unatafuta kitu chochote kuwa specific unataka aina gani ya kitu, ubora n.k. Ila ukiweka general hivi watakusumbua tu bure.