mhuri25 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 3,267 Reaction score 4,476 Apr 7, 2017 #21 Chief Engineer said: Asante mkuu.. Napapata pale... Ukitoka geti la Bibo unakunja kushoto kama unapita Shatopori. Daah nimekumbuka kwa mama Kifusi kule mbele 1200 tu msosi huoo utaukimbia. Click to expand... Mkuu mama Kifusi mama ndumbi waliniweka mjini... Pale unaweza kwenda na shuka unapiga unalala kwenye bench...
Chief Engineer said: Asante mkuu.. Napapata pale... Ukitoka geti la Bibo unakunja kushoto kama unapita Shatopori. Daah nimekumbuka kwa mama Kifusi kule mbele 1200 tu msosi huoo utaukimbia. Click to expand... Mkuu mama Kifusi mama ndumbi waliniweka mjini... Pale unaweza kwenda na shuka unapiga unalala kwenye bench...
Padri Mcharo JF-Expert Member Joined Feb 28, 2015 Posts 1,899 Reaction score 3,691 Apr 7, 2017 Thread starter #22 Distinction said: Mara situkani Mara unatukana. VP Mkuu wanakuuzi wapotezee .. Click to expand... Ambao siwatukani sasa hivi ni wanawake tuu... Kwa masela utaratibu uko pale pale. Ukinichokonoa nakuwashia moto huo!! Nikianza kutukana natukana kweli kweli.
Distinction said: Mara situkani Mara unatukana. VP Mkuu wanakuuzi wapotezee .. Click to expand... Ambao siwatukani sasa hivi ni wanawake tuu... Kwa masela utaratibu uko pale pale. Ukinichokonoa nakuwashia moto huo!! Nikianza kutukana natukana kweli kweli.