Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,691
Maajabu! hela ya calculator tu huna, Wakusumbue kwa lipi sasa?
hizo nyanya mbili na mbilimbi uliyonayo???
Dukani umeambiwa tsh 40,, ww unataka kutoka kwa mtu kwa 30,, alafu bado unasema unabana matumizi?? Vp kuhusu nauli na time uliyotumia kufika k, koo? + hyo 30 na haujui mwenye nayo yuko wapi,, ndugu yangu hauko criaz that izi kreizi
Unatudhalilisha ma injinia mkuu...Bwana mdogo...
Walioelewa shida yangu wameshakuja pm tunaongea biashara...
ONYO: Acha kutafuta kiki kupitia mgongo wa Engineer..
Kajitu kenyewe bado ka member, kamejoin JF Mwezi uliopita...
Una bahati siku hizi situkani watu...
Ningekuwashia moto humu mpaka uimbe "a e i o u"
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Unatudhalilisha ma injinia mkuu...
Hiyo calculator ni ya mwanafunzi wa alevo...tumia texas intrument na sio casio!!
Alafu unakosaje elfu 40?? Huna hata matlab??
Huko site ndio mnatukana matusi hivyo? Injinia wa site unakosaje elfu 40?Wewe pimbi wewe....
Hesabu nazohitaji kufanya ni za A level pia.
Unataka niende site nikifika nianze kuwasha PC nifungue matlab ndio nifanye calculation ya 963x56!!!!!
Acha Upimbi bwana mdogo.
Mimi sio Engineer muweka matako ofisini.. Mimi ni mtu wa Site bwana.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Kama huna haraka na bado hujapata nicheki kesho nakuja nayo natokea tangaNiaje Wazeiyaaaaaaaaah...
EBANA SAWA:
Natafuta scientific calculator fx991 ms either mpya au used...
Iwe original aisee...
View attachment 492062 View attachment 492068 View attachment 492069
Kama ni mpya bei maximum 30,000
Kama used bei maximum 25,000 (kutegemea na ilivo)
Nimeenda maduka ya Kariakoo naona wahindi wanazingua tuu.. Eti wanasema calculator original sasa hivi 40,000... Engineer lazima uwe mchumi..!! Nikasepa
Very Urgent mazee:
Niko Dar es Salaam... nahitaji kufikia kesho ijumaa mchana niwe nimeipata.
Kwa mdau anayeuza ama anayo used basi adondoshe comment yake hapa chini ama anichek pm (siwezi kuweka phone no yangu, mademu watanisumbua)
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
mkuu umerudi kutoka uarabuni?
Ninayo nicheki kwa 0718479078 kwa bei 20000
Chief Engineer Nenda mabibo hostel pale km unaenda kwa mpemba Najua unapajua Vizuri sana... Kuna duka lipo juu mwanzoni lina ngazi za chuma pita Hapo MKUU...
Kama huna haraka na bado hujapata nicheki kesho nakuja nayo natokea tanga
Huko site ndio mnatukana matusi hivyo? Injinia wa site unakosaje elfu 40?
Kuna tofauti kati ya ubahili na uchumi! Alafu si kila injinia kasoma huko coet kwenu!Ama kweli wewe ni Pimbi...
Rudi Coet kasome Engineering Economics ya Prof Shine.