Nina dada yangu yeye ni Quantity surveyor alimaliza chuo mwaka 2010 (uclas/ardhi univ)na upper second kali, ana uzoefu wa miaka 5 kwenye kampuni ya ukandaras ya wachina na ndipo anafanya kaz na kishafanya project za kutosha na hiyo kampuni. ukimhitaji mcheki na hii namba 0763829874. Nakuhakikishia hutojutia uamuz wako.