COMORIENNE JF-Expert Member Joined Dec 25, 2022 Posts 1,157 Reaction score 1,277 Jan 26, 2025 #21 nusuhela said: Nina tatizo kama lako kwa zaidi ya miaka 17 sasa. Lilianza nikiwa form three nakumbuka kuna mama alinipa begi 2 nimnyoshee. Niliinama kwa zaidi ya masaa 8. Kuja kuinuka, maumivu mpaka leo na sijapata tiba Click to expand... Pole tiba ipo na unaoona kabisaa ninzuri sio chungu wala tamu ni kama unakunywa maji ila pia ya kubandika eneo lililo athiriiwa
nusuhela said: Nina tatizo kama lako kwa zaidi ya miaka 17 sasa. Lilianza nikiwa form three nakumbuka kuna mama alinipa begi 2 nimnyoshee. Niliinama kwa zaidi ya masaa 8. Kuja kuinuka, maumivu mpaka leo na sijapata tiba Click to expand... Pole tiba ipo na unaoona kabisaa ninzuri sio chungu wala tamu ni kama unakunywa maji ila pia ya kubandika eneo lililo athiriiwa
safuher JF-Expert Member Joined Feb 11, 2019 Posts 12,312 Reaction score 18,177 Jan 26, 2025 #22 COMORIENNE said: Pole tiba ipo na unaoona kabisaa ninzuri sio chungu wala tamu ni kama unakunywa maji ila pia ya kubandika eneo lililo athiriiwa Click to expand... Tiba gani hiyo asee
COMORIENNE said: Pole tiba ipo na unaoona kabisaa ninzuri sio chungu wala tamu ni kama unakunywa maji ila pia ya kubandika eneo lililo athiriiwa Click to expand... Tiba gani hiyo asee
nusuhela JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 6,478 Reaction score 8,144 Jan 26, 2025 #23 COMORIENNE said: Pole tiba ipo na unaoona kabisaa ninzuri sio chungu wala tamu ni kama unakunywa maji ila pia ya kubandika eneo lililo athiriiwa Click to expand... Tiba inapatikana wapi? Maana nimetumia dawa nyingi za kuelekezwa lakini wapi
COMORIENNE said: Pole tiba ipo na unaoona kabisaa ninzuri sio chungu wala tamu ni kama unakunywa maji ila pia ya kubandika eneo lililo athiriiwa Click to expand... Tiba inapatikana wapi? Maana nimetumia dawa nyingi za kuelekezwa lakini wapi
COMORIENNE JF-Expert Member Joined Dec 25, 2022 Posts 1,157 Reaction score 1,277 Jan 26, 2025 #24 nusuhela said: Tiba inapatikana wapi? Maana nimetumia dawa nyingi za kuelekezwa lakini wapi Click to expand... Mimi ninayo tiba
nusuhela said: Tiba inapatikana wapi? Maana nimetumia dawa nyingi za kuelekezwa lakini wapi Click to expand... Mimi ninayo tiba
COMORIENNE JF-Expert Member Joined Dec 25, 2022 Posts 1,157 Reaction score 1,277 Jan 26, 2025 #25 COMORIENNE said: Mimi ninayo tiba Click to expand... Ulifanya Xray? kama ndio tuma pm
Igombe fisherman JF-Expert Member Joined Apr 28, 2017 Posts 2,262 Reaction score 4,052 Feb 4, 2025 #26 Mi ninatatizo kama hili ila inataka kufika mwaka sasa
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,953 Reaction score 56,084 Feb 4, 2025 #27 Pole sana mkuu