Basi huijui vizuri bawasiri. Bawasiri iko hivi kuna muda vinaota vinyama pembeni ya haja kubwa,vidogo vidogo kwa ukubwa wa punje ya harage.
Vinaweza vikawa viwili au vitatu. Na huwa inakuja na kupotea yenyewe muda mwingine. Na inaambatana na kuuma sana muda mwingine wakati wa haja kubwa. Kuna muda mwengine wakati wa kujisaidia inatoka na damu.
Ugonjwa huu unawaandamana sana wanaofanya mazoezi mazito naagumu,kama kunyanyua vitu vizito au hata push up tu.
Ni ugonjwa unawasumbua wengi hasa wanaofanya mazoezi mazito. Umeenea sana,na huwezi kupata tiba hospital. Zaidi zaidi hospital watakufanyia operation ndogo lakini kwa muda tena ugonjwa utakurudia. Nasikia wahadzabe tu ndio wanaweza kuutibu huu ugonjwa. (Wamasai siku hizi wameishiwa mbinu,wamebaki wapiga deal tu).
Yoyote mwenye kupata dawa ya kudumu tujulishane.