Joseph msai
Member
- Aug 8, 2020
- 6
- 2
Kutwa nzima huwa unajishughulisha na kufanya kazi gani?au unakaa kutwa nzima pasipo na kufanya kazi yoyote ile? Unafanya kazi ngumu?Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21...
Hivi karibuni nimekua nikisikia maumivu makali sana ya kiuno hasa nikiwa nimkaa. Au wakati wa kulala. Je, chanzo chake ni nini na je naweza pata tiba. [emoji120]
Una UTI nenda kapimeMimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21...
Hivi karibuni nimekua nikisikia maumivu makali sana ya kiuno hasa nikiwa nimkaa. Au wakati wa kulala. Je, chanzo chake ni nini na je naweza pata tiba. [emoji120]
Punguza punyeto kijana.Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21...
Hivi karibuni nimekua nikisikia maumivu makali sana ya kiuno hasa nikiwa nimkaa. Au wakati wa kulala. Je, chanzo chake ni nini na je naweza pata tiba. [emoji120]
Work and work related hazards..upo na ergonomics hazard exposure...jitahidi ufike hospital onana na occupational health therapist au physiotherapist.Kazi ngumu au za kuinama nimezifanya kipindi cha nyuma kidogo make nilikua nikifyatua tofali za brock kwa mda.
Hayo ndio madhara unayapata sasa ulikuwa unajituma na kufanya kazi kupita kiasi ndio umepatwa na hayo maradhi kwa sasa. Nenda Hospitali ukatibiwe usipo pona nitafute kwa wakati wako ili nipate kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.Kazi ngumu au za kuinama nimezifanya kipindi cha nyuma kidogo make nilikua nikifyatua tofali za brock kwa mda.
halafu wewe ni JF Expert Member🙄 kwa ushauri huo.Punguza punyeto kijana.