Mkabidhi yesu maisha kila kitu kitaenda vizuri.
Mkuu hiyo Website uliyoweka haifunguki nimejaribu kuifunguwa hebu ona ninapata Error wakati wakuifunguwa hebu ona hivi inavyosemaPole sana. Kuna course mbali mbali za ku-manage priorities.Jaribu hii hapa: http://www.mindtools.com/pages/article/newHTE_93.htmNakushauri usisome kama unavosoma novel, soma and apply what you read.Vikishindikana kabisa consider taking a week or ten days leave to rethink your priorities and organize your life accordingly.Kinacho shindikana mara nyingi ni kukubali kua tunapoteza muda mwingi kwenye vitu ambavyo hatuhitaji ila vinahitajika na watu wengine.
| ||||||
|
Hujatuambia (1)Je Umeowa? (2) Male Or Female? (3) kama ni Female umeolewa ? kama ni male umeowa? (4)Una Umri wa miaka mingapi? (5) Je unalala kwa muda wa masaa mangapi kwa siku? (6) Unafanya biashara gani? ni hayo Maswali yangu.jamani nina stress naona sasa zinakonipeleka siko ..hadi kichwa kinaniuma,nashidwa hata kulala vya kutosha nakuwa naweweseka nikilaa ..shida kubwa ninakuwa na mambo mengi ya kufanya kwa mda mfupi..kazini,family,madeni ninayodai silipwi,biashara haiendi,kuna jamaa zangu natakiwa niwasaidie na kwenyewe kumekwama zaidi ya kupokea lawama tu....kila ninachokipanga haikiendi,nifanyeje wandugu niishi maisha ya furaha!
Pole mkuu, naona kuna neno "nashahuri" liliungana na link.Jaribu hii hapa:The Wheel of Life - Finding Balance in Your Life - Time Management Techniques from MindTools.comMkuu hiyo Website uliyoweka haifunguki