Nilikuwa na shida ya kutopata choo vema lakini sasa hivi niko poa, maumivu ya tumbo pamoja na kujaa gas yameisha, uchovu wa mwili bila sababu umeisha, macho yalikuwa yanatoa machozi na kuuma kama nimewekewa pilipili lakini siasikii tena. Nimeyafanya haya mafuta ya ya zeituni kama lotion ya kujipaka mwilini na mwilini na ngozi sasa hivi imekaa vizuri mno.
Hayo ndo mafanikio niliyoyaona