najua hesabu tatizo, rahishisha, kuanzia hiyo tar 8 hesabu siku 7 mbele, hapo akimaliza P yake piga, ila siku 7 zifuatazo toa 3 ni free hizo 4 ni hatari, ongeza 3. baada ya hapo ni free mandela awamu ya 2. ila lazima ujue kuwa mwanamke anapitia vipindi vi3 ukivijua rahisi sana, ila ongopa siku ya 14 joto la mwanamke linakuwa juu sana. ukiujua mwili wa mwanamke kibiolojia raha sana.