selina mrembo
Member
- May 18, 2020
- 54
- 68
Unahisi kutapika pia ama ni maumivu tuMaeneo ya chini ya kitovu upande wa kulia panauma kwa ndani kama pana kidonda ntakuwa na tatizo gani mimi ni mwanamke msaada wenu tafadhal
Sent using Jamii Forums mobile app
PID hamn ata uchafu ukeni.inaweza ikawa PID, pelvic infection disease..nenda hopstal
kawaida hutokea wakati bakteria wa zinaa kuenea kutoka kwenye uke kwenda mpaka tumboni,,ndomana unasikia maumivu hayo.
Nimekuuliza maswali haujanijibu ningeweza kukusaidia maana inaweza kuwa appendicitis hiyo, Ila sijui kwanini haujanijibu
Sisikii kichefu chefu kwenye kula mi mvivu automatically sio mlaji
Iyo hali ilishawaig tokea uko nyuma nikaend hosp waka assume may be appendex badae wakasem hamn kituinaweza ikawa PID, pelvic infection disease..nenda hopstal
kawaida hutokea wakati bakteria wa zinaa kuenea kutoka kwenye uke kwenda mpaka tumboni,,ndomana unasikia maumivu hayo.
Kweny utrasound nilichekIyo hali ilishawaig tokea uko nyuma nikaend hosp waka assume may be appendex badae wakasem hamn kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipoenda hospitali walikufanyia ultra sound, maana wanaweza kuwa waliku_diagnose clinically kuwa si appendicitis but ukifanya ultra sound majibu yanaweza kuwa tofautiIyo hali ilishawaig tokea uko nyuma nikaend hosp waka assume may be appendex badae wakasem hamn kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia ultra sound inaweza kuona hakuna kitu maana kale ni kadogo Sana, hivo ni vema ukaenda hospital inayoaminika zaidi maana kwa kwa maelezo yako naamini ni appendicitis
Sasa kwann usieensa kwa wataalamu.Maeneo ya chini ya kitovu upande wa kulia panauma kwa ndani kama pana kidonda ntakuwa na tatizo gani mimi ni mwanamke msaada wenu tafadhal
Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu 2013 isingepasuka kweliPia ultra sound inaweza kuona hakuna kitu maana kale ni kadogo Sana, hivo ni vema ukaenda hospital inayoaminika zaidi maana kwa kwa maelezo yako naamini ni appendicitis
Sent using Jamii Forums mobile app
ulipiga ultra sound?Iyo hali ilishawaig tokea uko nyuma nikaend hosp waka assume may be appendex badae wakasem hamn kitu
Sent using Jamii Forums mobile app