da irritant boy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 402
- 436
ok poa 3rd genNi generation ya ngapi?Nenda my pc kisha properties halafu screenshot au piga picha kisha weka hapa.
Unapatikana wap na offer yako kiasi gani??Naitaka
shukran ndugu yangu,Ofa yangu LAKI 3
Kula tatu na nusu mkuumali bado ipo
nina offer ya laki 4 kamili;BRAND: HP
MODEL: ELITEBOOK 8470P
HARD DISK: 750GB
RAM : 8 GB
GRAPHICS MEMORY: 4GB
BATTERY: Masaa 4
PROCESSOR: Core i5, 2.6 Ghz
UKUBWA WA KIOO: 14.0 Inches
CONDITION: Imetumika 3 months haina mkwaruzo
BEI: 550,000 Tshs
LOCATION: Morogoro
Kama upo interested biashara ifanyike hapa kwenye thread no PM thing.
Tatu na nusu mbali sana mkuu mashine bado ni mpya mno na tafadhali rejea sifa za mashineKula tatu na nusu mkuu
tuondelee kuangalia mkuu maana nna offer kadhaanina offer ya laki 4 kamili;
nitakupa tarehe 17 september ndio nitakua nayo mkononi;
kama utakua tayari tuweke bid;
tuondelee kuangalia mkuu maana nna offer kadhaa
Shukran sana mkuu,nilipenda sana hii,sema hela sina mkononi,ila tarehe hizo nitakuchek,ikiwepo hii nachukua,isipokuwepo nitachukua utakayokua nayo;
asante sana;Shukran sana mkuu,
Haina noma top kabisa chukua 4.Tatu na nusu mbali sana mkuu mashine bado ni mpya mno na tafadhali rejea sifa za mashine
Kumbuka now tupo 11 genok poa 3rd gen
11 gen ni sh ngai mkuu?Kumbuka now tupo 11 gen
Parefu sana mkuu. Sio chini ya m na nusu.11 gen ni sh ngai mkuu?