ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
hongera best. kushinda mitandaoni tunashinda na madorali tunatafuta
wanawake hoyeeeeeeee
best maeneo ya kibaha hutaki?
mimi sina, ila yapo tu unaweza kutembelea ukajionea.Vipi mdada unayo mashamba kibaha?
hongera best. kushinda mitandaoni tunashinda na madorali tunatafuta
wanawake hoyeeeeeeee
best maeneo ya kibaha hutaki?
Mpigi vip?
Duh! Hii bei ya dar hii.Fukayosi, barabara ya lami kuelekea Msata. Shamba lipo umbali wa mita 80 kutoka mwisho wa miliki ya barabara.
Kuna heka nne hivi zinauzwa zote kwa 6 M kila moja. kama uko sawa, onesha nia.
Historia haiishiwi wino.