Nahitaji gari aina ya Toyota Noah (old model )
1 *Iwe katika great and excellent condition*
2 *Rangi yoyote*
3 *Isiwe imerudiwa rangi wala kufunguliwa Engine*
3 *Gia Fupi and automatic*
4 *Isiwe na tatizo lolote wala kudaiwa chochote*
5 *Iwe zanzibar au dar es salaam*
*MAWASILIANO*
_0716403314_
_0625882454_
Kwa WhatsApp na mapicha tumia Namba ya pili yaani 0625882454
*_ASANTENI_*
Mimi ninayo lkn ushuru walivyonitwanga toka imefika nimeifungia ndani ww sema unahitaji kwa kiasi gani ili nijue kama ninaweza kuuza au niendelee kuifungia ndani.
Serious ipo lakini Morogoro sio Dar wala Znz. Iko na sifa hizo unazozitaka haijawahi wekwa mikono na inatumika kwa matumizi binafsi ya nyumbani. Kama wewe ni mhitaji kweli niambie...