Mkuu vipi maeneo ya Chalinze njia ya kwenda gwata, kijiji cha Chahuwa...??
Kuna barabara nzuri inayoconnect hicho kijiji na barabara kuu ya Moro...
Kuna mradi wa maji unapita, mabomba ya maji tayari yamewekwa, very soon maji yatapatikana...
Ardhi ni virgin, very preferable kwa agribusiness...