Naomba kwa atakaeguswa anisaidie kunirushia project proposal inisaidie kuandikia miradi ya CBO yetu, tumepata mtu wa kutuunganishia kwa mfadhili lakini tunakosa mradi wa kushawishi.
Proposal iwe ya idea yoyote youth empowerment, environment, elimu, entrepreneurship, afya, human rights, sanitation, sensitization nk nk sisi tunao uwezo wa ku customize ..lengo ni kuisaidia jamii zaid japo na kikundi pia kitapata cv...
Plz kama unauwezo wa kunitumia usipite bila kufanya hivyo. Mungu atakuzidishia na kukufungulia milango zaid..
Moderator huu uzi sio tangazo la biashara why unaletwa huku kwenye biashara nakosa wachangiaji wanahousika na haya mambo ni heri muuache kule mchanganyiko au miradi ya biashara.