Nahitaji Noah old Model ya mwaka 2000-2001

Hapa kazi tu

Member
Joined
Nov 6, 2015
Posts
44
Reaction score
8
Iwe na namba D kilometa zisizidi 80,000KM, bajeti milioni 9.5. Kama unayo njoo PM tumalize biashara
 
Weka contacts zako!gari zipo ila ongeza hela kdg upatiwe gari likatalo kidhi specification zako ulizozitaka
 
Naona wazee wa kazi wako bize kucheza na kilometers afu ukabidhiwe mzigo wako
 
Iwe na namba D kilometa zisizidi 80,000KM, bajeti milioni 9.5. Kama unayo njoo PM tumalize biashara
Hivi hujui kuwa hivo vitu vinachezewa tu hata ukitaka 10km itapatikana.
 
Ndomana kwa ununuaji wa magari km huwa syo big deal mkuu!kweli watu wanachezea hzo km
Hivi hujui kuwa hivo vitu vinachezewa tu hata ukitaka 10km itapatikana.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…