Chuku chuku JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 873 Reaction score 1,369 Mar 30, 2015 #1 Wapi naweza kupata Laptop mpya aina ya HP yenye uwezo wa kati kwa matumizi ya kawaida na kwa bei nafuu?naomba nisaidiwe..
Wapi naweza kupata Laptop mpya aina ya HP yenye uwezo wa kati kwa matumizi ya kawaida na kwa bei nafuu?naomba nisaidiwe..
P. Majaribu JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 1,192 Reaction score 625 Mar 30, 2015 #2 Chuku chuku said: Wapi naweza kupata Laptop mpya aina ya HP yenye uwezo wa kati kwa matumizi ya kawaida na kwa bei nafuu?naomba nisaidiwe.. Click to expand... Kumbe unaomba usaidiwe,nilifikiri unataka ya kununua.
Chuku chuku said: Wapi naweza kupata Laptop mpya aina ya HP yenye uwezo wa kati kwa matumizi ya kawaida na kwa bei nafuu?naomba nisaidiwe.. Click to expand... Kumbe unaomba usaidiwe,nilifikiri unataka ya kununua.
K Kitanto Member Joined Apr 6, 2011 Posts 26 Reaction score 1 Mar 30, 2015 #3 Uko wapi?? hp zipo Tshs. 750,000 mpya na used zipo kwa 380,000 n pm
alphonce.NET JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 1,721 Reaction score 6,074 Mar 30, 2015 #4 Chuku chuku said: Wapi naweza kupata Laptop mpya aina ya HP yenye uwezo wa kati kwa matumizi ya kawaida na kwa bei nafuu?naomba nisaidiwe.. Click to expand... Kama uko mwanza ninayo HP used, 2GB RAM, 500GB Hard disk. Bei 280,000
Chuku chuku said: Wapi naweza kupata Laptop mpya aina ya HP yenye uwezo wa kati kwa matumizi ya kawaida na kwa bei nafuu?naomba nisaidiwe.. Click to expand... Kama uko mwanza ninayo HP used, 2GB RAM, 500GB Hard disk. Bei 280,000
P. Majaribu JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 1,192 Reaction score 625 Mar 30, 2015 #5 Ipo Hp i5 Duo core,Ram 6gb,hdd 600 inatakiwa 550,000/=
Mentor JF-Expert Member Joined Oct 14, 2008 Posts 20,334 Reaction score 23,940 Mar 30, 2015 #6 Chuku chuku said: Wapi naweza kupata Laptop mpya aina ya HP yenye uwezo wa kati kwa matumizi ya kawaida na kwa bei nafuu?naomba nisaidiwe.. Click to expand... HP i3 4GB RAM, 500GB HDD...800,000/-
Chuku chuku said: Wapi naweza kupata Laptop mpya aina ya HP yenye uwezo wa kati kwa matumizi ya kawaida na kwa bei nafuu?naomba nisaidiwe.. Click to expand... HP i3 4GB RAM, 500GB HDD...800,000/-
Chuku chuku JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 873 Reaction score 1,369 Mar 30, 2015 Thread starter #7 P. Majaribu said: Kumbe unaomba usaidiwe,nilifikiri unataka ya kununua. Click to expand... Ni ya kununua mzee..
P. Majaribu said: Kumbe unaomba usaidiwe,nilifikiri unataka ya kununua. Click to expand... Ni ya kununua mzee..
Chuku chuku JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 873 Reaction score 1,369 Mar 30, 2015 Thread starter #8 P. Majaribu said: Ipo Hp i5 Duo core,Ram 6gb,hdd 600 inatakiwa 550,000/= Click to expand... Mpya ama used?
P. Majaribu said: Ipo Hp i5 Duo core,Ram 6gb,hdd 600 inatakiwa 550,000/= Click to expand... Mpya ama used?
Chuku chuku JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 873 Reaction score 1,369 Mar 30, 2015 Thread starter #9 alphonce.NET said: Kama uko mwanza ninayo HP used, 2GB RAM, 500GB Hard disk. Bei 280,000 Click to expand... Poa ntakucheck PM
alphonce.NET said: Kama uko mwanza ninayo HP used, 2GB RAM, 500GB Hard disk. Bei 280,000 Click to expand... Poa ntakucheck PM
Pritty wa joseph JF-Expert Member Joined Jul 17, 2014 Posts 2,379 Reaction score 2,051 Mar 30, 2015 #10 ninazo bei cheeeeeee kama bado hujapata nichek 0714547830
P. Majaribu JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 1,192 Reaction score 625 Mar 30, 2015 #11 Chuku chuku said: Mpya ama used? Click to expand... Used mkuu,mpya ipo inatakiwa 850k
M misangamagira Member Joined Dec 5, 2014 Posts 5 Reaction score 1 Mar 31, 2015 #12 vipi compyuter hauitaji ipo used ram 4 gb 2 monitor flat screen inauzwa 350000/= pungufu ipo niko bunda contact 0766591260 &0682582424 au nicheki whatsap hiyo namba ya voda
vipi compyuter hauitaji ipo used ram 4 gb 2 monitor flat screen inauzwa 350000/= pungufu ipo niko bunda contact 0766591260 &0682582424 au nicheki whatsap hiyo namba ya voda