robson kiria
Member
- Apr 11, 2014
- 74
- 108
Nna TCL smart tv mkuu kama utahitaji nicheki humo 0718334325Khabari zenu.
Wakuu nahitaji tv kutoka kampuni hizi ukubwa inch 32 Samsung LG, TCL au Hitachi
Bajeti yangu ni 300,000.
njoo inbox ipo samsung full boxKhabari zenu.
Wakuu nahitaji tv kutoka kampuni hizi ukubwa inch 32 Samsung LG, TCL au Hitachi
Bajeti yangu ni 300,000.
Hivi smart TV huwa ina sifa gani?Nna TCL smart tv mkuu kama utahitaji nicheki humo 0718334325
Utofauti wa smart tv na isiyo smart ni ongezeko la matumizi ya tv ambapo smart tv inakua na uwezo wa kuhifadhi application kama za kwenye smart phone,yaani unatumia Facebook,youtube Instagram nk.Hivi smart TV huwa ina sifa gani?
corona ipo tuchukue tahadhari
Za hao wadau wawili hapo juu TCL na Samsung umeshindwa?tv bado inahtajika
Sent from my iPhone using JamiiForums
TCL smart 32" model S6500, mpya kabisa haina tatizo lolote.tv bado inahtajika
Sent from my iPhone using JamiiForums
Za hao wadau wawili hapo juu TCL na Samsung umeshindwa?
Dumelang
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] alitaka kukuhonga na fambasijashindwa mkuu sema walichelewa kunijibu wamekuja nijibu moja ishaenda na wa pili samsung ilikuwa ni famba
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] alitaka kukuhonga na famba
Dumelang