huko kote uliko taja kuna umeme,maji,barabara ila sina uhakika ni kwa kiwango utakacho!!wewe unataka umeme wa aina gani,je maji ungependa ya namna gani?barabara ya vumbi kwako pia ni barabara au wataka lami!!

nitafute nikupatie kiwanja sehemu urongoni kuna umeme na gari linafika mpaka kwenye kiwanja ni eneo endelevu.pia kipo kingine chanika umeme upo pia .contact 0713959290
nina kiwanja bunju mwisho kijij chaitwa udindivu
mita 20 kwa 26
bei 5m
maji yanapita mpakan mwa kiwanja..umeme nguzo moja uko karibu sana
uref kutoka bagamoyo road mpaka kiwanja ni 1 to 1.5km
majiran wamesha jenga saana..
bei inaongeleka
hakina hati
sereous buyers call 0754229745
Una maanisha hii milioni hii ninayoijua halafu ziwe mia mbili hamsini?!! Ekari moja haijapimwa?!! Huko kivule mkuu kuna thamani sana eeh?!! Au kiwanja kina hazina ya dhahabu nini?!!
Mimi ninacho majohe njia ya Chuo, ukubwa 20 *20 hakina hati ila karatasi zote muhimu nnazo, bei m6 anaehitaji Ani pm kiko kwenye barabara ya mtaa unaweza kuweka frem za biashara
Mimi ninacho majohe njia ya Chuo, ukubwa 20 *20 hakina hati ila karatasi zote muhimu nnazo, bei m6 anaehitaji Ani pm kiko kwenye barabara ya mtaa unaweza kuweka frem za biashara