Nahitaji kiwanja

Bunju vipo vya ukubwa tafauti tafauti, maji, umeme vipo , bei kati ya ML13 - 25 (M20*40/25*35) na ML40 (M70*80)
 
Karibu mm nauza changu kipo madale msigani kimepimwa kina ukubwa wa 40 kwa 20 nauza 25m ila maongezi yapo
changu kipo SANZALE bagamoyo 25 kwa 20 hakijapimwa lakini barua za serikali ya mitaa zipo
 
Mwenye kiwanja maeneo ya goba, malamba mawili tuwasiliane

offer 4mil max.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…