Kizazi jeuri
JF-Expert Member
- May 16, 2013
- 297
- 64
Nahitaji kiwanja bei milioni 3.5
, kiwe jirani na umeme, kisiwe bondeni na mwisho kiwe kikubwa na chenye barabara hisiyo na mizengwe. Maeneo ukonga na mbagala.
Nipm kama kina sifa hizo.
Nahisi utakuwa unaota usingizini bado subili kukuche
Wewe umevurugwa sana kwani ungepita Kimya Kimya ingekuwaje? Be å gentleman hacha uswahili usio na maana.
Nenda kakojoe, unye kabisa then ulale pumbavu, na mjinga kana ww umeskia wapi kiwanja cha bei iyo na naeneo uliotaja
Ntapata ila sio kwa haraka, mbona vipo sema kupata inatakiwa kuwa na subira. Watu wanakopa, watu na shida. Juzi kuna mzee mwimbili yupo hoi kauza milioni mbili kiwanja kizuri kikubwa 25 kwa 30. mombasa kwa diwani tena kuna umeme. Mkwanja nilikuwa sijakamata.
Mkuu umetisha,kwa hiyo unasuburi cha zari kama hicho cha huyo mzee.
Kila la heri,matumaini mema
Nahitaji kiwanja bei milioni 3.5 kiwe jirani na umeme, kisiwe bondeni na mwisho kiwe kikubwa na chenye barabara hisiyo na mizengwe. Maeneo ukonga na mbagala.
Nipm kama kina sifa hizo
Wee MUONGO!Nahisi utakuwa unaota usingizini bado subili kukuche