jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,020
Kiwanja kipo ila ni kichangani. Mbele ya Avic town city. Nichek 0718 290779
Ondoa hizo nukta kwenye bei zako nikuuzie 20*20.Habari wakuu,nahitaji kiwanja maeneo ya kigamboni hususani kisiwani,ukubwa kuanzia 20 kwa 20,bajeti yangu 2.5M - 3.0M,Mwenye nacho tuwasiliane,kwa namba 0621003284.
Dalali haitajiki.
Ondoa hizo nukta kwenye bei zako nikuuzie 20*20.
Kwa eneo hilo huwezi kupata kwa bei hio.Labda na hela nizitoe fotokopi ili zikutoshe.
Utamuibia,hakuna kiwanja bei hiyo Maeneo hayo.Kuna mtu juzi tu katapeliwa hapo.Tena shemeji yangu.Kiwanja kipo ila ni kichangani. Mbele ya Avic town city. Nichek 0718 290779
Njoo nikupe 30*30 mwembe mdogo kwa mils 6
kama unapajua geza ulole vipo vingi tu ila ni kuanzia mil 3ukiwa tayari nipm tuchonge
kigamboni huko huko nduguGeza ulole ya wapi wewe??
Hapo geza kabla ya mwongozo au geza ya wapi??kigamboni huko huko ndugu
vimepimwa na vinahati kabisakigamboni huko huko ndugu
vimepimwa na vinahati kabisa
geza ulole mwisho kule mwanzo wa yale yaleHapo geza kabla ya mwongozo au geza ya wapi??
anyway nakupm namba unipigie kama upo seriousgeza ulole mwisho kule mwanzo wa yale yale