Nahitaji Kiwanja Jamani.

Mateka

Senior Member
Joined
May 2, 2011
Posts
131
Reaction score
41
Wadau vip?
Kuna mtu mwenye kiwanja 30x40 budget not greater than 5m. maeneo yasiwe mbali sana na mji.

Nawasilisha.
 
30x40 unaamanisha mita? Haya mkuu safari njema ya ujenzi. Kutojaza saver yetu na mie wacha niunge tela kutafuta kiwanja kwa bajeti hiyo(5m) maeneo ya Buza, Temeke.
 
tuwasiliane kipo bunju. karibu na mabwepande. ni rahis kuchukua umeme toka mabwepande. 0713401812
 
Vipo viwanja vingi sana chanika kuanzia 2mil na kuendelea .umeme upo gari linafika mpaka kwenye kiwanja .contact 0713 95 92 90
 
tuwasiliane kipo bunju. karibu na mabwepande. ni rahis kuchukua umeme toka mabwepande. 0713401812

Hicho chako ni size 30X40 na kipo umbali gani kutoka barabarani?
 
natafuta 40/40 morogoro mwenye nacho ani PM tufanye biashara
 
Mimi pia nahitaji 30*40 boko, mbweni, bunju, chanika etc. Mwenye nacho tuambiane wadau
 
Vipo viwanja vingi mkuu chanika.kama upo serous tuwasiliane au ni pm
 
Naulizia Tuangoma Temeke Kigamboni Road,kwenye Mradi Square metre.800 ni Sh.ngapi?
 
wakuu....naomba kuwasilisha nauza kiwanja kipo mwanza buswelu B ukubwa 63*33....0756654525
 
Kiwanja kipo kihonda kwa chambo. Kimepimwa na kina hati, umeme upo, maji kipo karibu na barabara. Bei 7m nipigie 0715500248 0756171831 0784500248.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…